Habari Zetu

My IP Address powered by Myip.ms
No posts.
No posts.

Maridadi Agency designed from two key words which came from two different languages ​​which are Swahili and English and each word carry has different meaning but means to create the perfect one.
Maridadi is the english word that means delicate,stylish,beautiful ,uniqueness,peculiarities or specificity.
Agency ni neno la kiingereza lililobeba maana ya wakala ama wakakili wa kitu fulani maalumu kwa dhumuni maalumu.

Maridadi Agency has three principle which is Truth,Brotherhood and Responsibility.

Truth
Binadamu ili aweze kuishi vizuri na kukubalika ndani na nje ya jamii yake haina budi kuwa mkweli kwa kila anachokifanya kwa wale wanaomzunguka hata walio mbali naye.
Responsibility
Kila binadamu ananafasi muhimu ndani ya jamii yake,haijalishi yu wa namna gani.Ni vema kutumia nafasi hiyo ndani ya jamii katika kuhakikisha kila kitu katika njia iliyonyooka(nzuri).
Brotherhood
Jamii ya mwanadamu imeundwa na makundi tufauti ya binadamu kama waouvu,wajinga,waelevu,masikini,matajiri wazuri hata wabaya.Hivyo ni vema wote wakawa kitu kimoja kama ndugu wa baba ama mama mmoja ili kuhakikisha maisha yakisonga mbele kwa urahisi na usawa wa nafasi zao.

 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency