Wanasayansi wanasema kuwa wanawake ambao hula chips au 'crips' kila siku wanaweza kuongeza mara mbili hatari ya kensa ya kizazi na ya ovari. Hatari hiyo inatokana na mada iitwayo acrylamide, ambayo hupatikana wakati wa kukaanga, kuoka au kuchoma vyakula mbalimbali. Wataalamu wa Kidachi wamewafanyia uchunguzi watu 120,000 juu ya tabia yao ya ulaji na kugundua kuwa wanawake ambao wanakula vyakula vyenye acrylamide, wanaonekana kukabiliwa na hatari zaidi ya kupatwa na aina hizo za saratani,
Kansa ya Kizazi

0 comments:
BONYEZA HAPA KUACHA MAONI YAKO