Home » » Part 2:Fahamu kilichojili nyuma ya panzia juu ya kifo cha nyoka mkubwa Arusha.

Part 2:Fahamu kilichojili nyuma ya panzia juu ya kifo cha nyoka mkubwa Arusha.

Jamani mungu atupe imani katika hii dunia jamni baba huyo mnaemuona hapo kafanya ushirikina ili apate mali na awetajiri sana hapa duniani bila ya kufikiria km kesho kwa mungu atajibu nini akamchukua mtoto wake alie mzaa na kumgeuza nyoka na kumfungia ndani kwa muda wa miaka kadhaaa nasiku ya jana m.mungu akataka kudhalillisha kwa shirki anayofanya,huwa wakienda kusafisha na kumuekea chakula nyoka huyo anafungua dirisha ili hewa iingie na sasa akawa amesahau kufunga dirisha,ndio chanzo cha yule nyoka akatoka nje na majirani wakaanza kupiga kelele bila kujua kinachoendelea.
 Hatimae wanaume wakajitokeza na kumuuwa na baada ya muda mfupi watu wa pale nyumbani kwake wakampigia cm kuwa kunanyoka mkubwa ametoka chumba kile unacho sema asiingie mtu na majirani wamemuuwa palepale yule bwana aliacha shughuli alizokuwa akifanya na kuja katika sehemu ya tukio na kuwakuta watu wamekusanyika na hapo tayari walisha muuwa nyoka huyo jamaaa akionyesha anauchungu na kuanza kusema kwa hisia kali mm sasa ntakuwa maskini,na ni nani aliewaambie mumuuwe nyoka huyu hali ya kuwa hiii ni dawa ya mali yangu na huyu ni mtoto wangu mimi nimembadilisha awe hivi jamani,bila kujali ni mbele za watu na anachozungumza ni nini subhana llwah hapo ndipo watu wakaijua siri ya baba huyo na nn kilikuwa kinaendelea.
Hiki ndio hasa kilichotokea Arusha.

Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency