Baadhi ya miili katika ajali hiyo ikiwa eneo la tukio. Watu 12 wamefariki dunia papo hapo na wengine 45 wamejeruhiwa katika ajali ya basi mali ya kampuni ya al Jabir kugonga Treni ya Tazara katika eneo la Kiberege, Morogoro.
Majeruhi wanapatiwa matibabu katika hospatali ya St Francis huku maiti zikiwa zimehifadhiwa katika hosptali hiyo.
Kulia ni basi likiwa limeanguka, na kulia ni polisi akiwa anaojiana na baadhi ya mashuhuda.
0 comments:
BONYEZA HAPA KUACHA MAONI YAKO