Mwanafunzi mmoja wa Kike wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam leo mchana muda wa saa nane amekutwa amefariki akiwa amelala kitandani chumba cha hostel.
Tukio hilo limetokea baada ya kuwaaga wenzake kuwa anakwenda kupumzika baada ya kuchoshwa na masomo ,muda mfupi ulipita na akakutwa chumbani akiwa tayari ameshafariki.
0 comments:
BONYEZA HAPA KUACHA MAONI YAKO