Huu ndio muonekano mpya wa soko la Karume.
Baada ya mabanda ya wamachinga wa eneo la Soko la Karume, maeneo ya Ilala Dar es Salaam yameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo.
Taarifa zinasema moto huo ulianza kidogo kidogo katika baadhi ya vibanda ambavyo wenye navyo walikuwa hawapo na baadaye kushika kasi na kuteketeza kila kitu kilichopo kwenye eneo hilo
Hizi ni picha za muonekano mpya wa soko hilo mapema asubuhi hii baada ya kuteketezwa kwa moto.
0 comments:
BONYEZA HAPA KUACHA MAONI YAKO