Mtoto wa miaka minane amepandishwa na kusafirishwa kwa ndege
hadi Zanzibar bila ya tiketi huku akiwa hana mtu yeyote wa kumpokea uwanja wa ndege
wa Zanzibar.
Mtoto huyo wa kike aliyejitambulisha kwa jina la Karolini Godfrey aliwasili Zanzibar na
kuteremka uwanja wa ndege Zanzibar ambapo madereva wa taxi walipomuona ana begi
wakataka kumpatia huduma na ndipo ilipojulikana kwamba hana mtu yeyote wa kumpokea na hata begi aliokuwa nalo sio lakwake ila alilichuka la abiria mwengine.
Ili ni tukio lililobeba hisia za watu na kujiuliza maswali mengi juu ya begi halisi la huyu mtoto lilikuwa na nini? Kapitaji kwenye ugaguzi? na nani yupo nyuma yake na kwanini?
Tuwe pamoja nikujuze zaidi.
Tuwe pamoja nikujuze zaidi.
0 comments:
BONYEZA HAPA KUACHA MAONI YAKO