Home » » Tambua dalili kuu ya saratani ya matiti kabla hujaathirika.

Tambua dalili kuu ya saratani ya matiti kabla hujaathirika.



Kuna tatizao ya kina mama na wasichana kuishi na ugonjwa wa saratani kwa muda mrefu bila kujitambua,na hivyo huwafanya kujitambua pindi ambapo ugonjwa huo ushashika hatamu na kuhathiri sehemu kubwa ya mwili wao.

Hizi ndio dalili kuu za kuwepo kwa ugonjwa wa saratani,na unatakiwa pindi unapohisi ama kuwa nazo ni vema ukaonana na daktari mapema kadri uwezavyo.
  1. Uvimbe kwenye matiti au kwapa
  2. Mabadiliko katika umbo la matiti
  3. Chuchu kutoa usaa ama titi kuwa nyororo
  4. Chuchu kupotelea ndani ya matiti badala ya kujitokeza nje
  5. Madutamaduta kwenye matiti kama yale ya maganda ya machungwa
  6. Kubadilika kwa ngozi ya matiti na chuchu kuonekana zimefura.


Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency