Hiki karibuni tumeshuhudia askali polisi watatu wa bararani wakifukuzwa kazi baada ya kupika picha zisisofaa na kuziweka mitandaoni.
http://maridadiagency.blogspot.com/2014/10/aibu-jeshi-la-polisiaskari-watatu.html
Baada ya siku chache pia tukaona askali polisi aliyepigwa picha akiwa amelewa huku amevalia nguo za jeshi la polisi.
http://maridadiagency.blogspot.com/2014/10/askali-polisi-waendelea-kudhalilisha.html
Hii picha ya chini ni muendelezo wa matukio ya picha zao za kudhalilisha jeshi la polisi wanazopiga wakiwa katika uniform za jeshi huku wakifanya vitendo visivyofaa.
Hii hapo juu ni picha nyingine inayoendelea kusambaa mtandaoni kwa kasi ikimuonyesha askari wa barabarani akiwa amelewa chakari huku kavaa nguo za kazi.
Vitendo hivi wanavyofanya askari polisi wetu,vimeonekana kuwa vya kidhalilishaji kwa jeshi letu na kuanza kuzua gumzo kubwa kwa nchi jirani kupitia vyombo vyao vya habari tena vikubwa tu na hata front page za magazeti yao.

Hili ni gazeti la THE POST likibeba front page habari ya askari wetu. Kupitia mtandao huu wa Maridadi Agency tunaendelea kupinga vikali vitendo vichafu vya askari wetu,na tunaomba uongozi wa vyombo vya jeshi kuanza kuwachukulia hatua kali ili kuwa fundisho kwa wengine. |
0 comments:
BONYEZA HAPA KUACHA MAONI YAKO