Home » » Ajari ya basi yaua wa 12 hapo hapo.

Ajari ya basi yaua wa 12 hapo hapo.


Baadhi ya miili katika ajali hiyo ikiwa eneo la tukio. Watu 12 wamefariki dunia papo hapo na wengine 45 wamejeruhiwa katika ajali ya basi mali ya kampuni ya al Jabir kugonga Treni ya Tazara katika eneo la Kiberege, Morogoro.
Majeruhi wanapatiwa matibabu katika hospatali ya St Francis huku maiti zikiwa zimehifadhiwa katika hosptali hiyo.

Kulia ni basi likiwa limeanguka, na kulia ni polisi akiwa anaojiana na baadhi ya mashuhuda.
Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency