Home » » Makonda: Namuheshimu Jaji Warioba

Makonda: Namuheshimu Jaji Warioba




Katibu wa Hamasa na Chipukizi wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM, Paul Makonda amekanusha taarifa ya kwamba amehusika kumpiga Waziri Mkuu wa zamani Jaji Joseph warioba jana. 

Amesema hawezi kumfanyia kitendo kama kile Jaji warioba kwani anamuheshimu kama mzazi wake.
Hayo yamejiri leo wakati alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari kuhusiana na taarifa zilizosambaa kwenye vyombo vya habari kwamba amehusika katika vurugu zilizotokea jana katika ukumbi wa Blue Peal, ubungo plaza jijini Dar es Salaam.

Kwa taarifa Zaidi ungana nasi baadaye
Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency