Leo tunakuletea kitu kigeni kidogo kuwa kuna ndege imetengenezwa ambayo inatumia nishati
Ya jua hii nikupunguza matuzi ya nishati ambazo ulepelekea uchafuzi wa mazingira
Hii ndege inauzito wa tani mbili na point 3
2.3 tones
Main ina engine nne ambazo zimetenganishwa kwa umbali wa mita nne
Hii ndege solar panel yake ina cells 17000
Na ina mwendokasi wa wastani wa 70km/h
Kupata habari kiundani zaidi
0 comments:
BONYEZA HAPA KUACHA MAONI YAKO