Home » » WAWANAWAKE DAY

WAWANAWAKE DAY

Wanawake day ni siku ambayo wanawake huweza kusherekea kwa kueleza matatizo yao mbalimbali juu ya maisha yao vilevile huonyesha kazi ambazo huwa wanazifanya kuingiza kipato ni kazi za ujasiliamali.

Kama unavyoona kwenye hizo picha hapo wanawake waki onyesha bidhaa zenye hasiri ya kiafrica.

Lakini wengi wamekuwa wakipoteza matumaini baada ya kuona watanzania wengi upendelea bidhaa kutoka nchi za magharibi kuliko bidhaa za ndani ya nchi.

Wangependelea kuona watanzania wote tukipendelea kuvaa nguo zenye hasiri ya kiafrica maana hata uchumi wa nchi unakuwa kupitia mapato ya ndani.

Imeonekana hata wanamitindo wanaobuni haina mbalimbali za nguo wamekuwa kuwa wakipoteza matumaini baada ya kuona wanachobuni hakina soko kubwa hivyo wanashindwa toa mitindo iliyo na ubunifu mkubwa kwa kuogopa watapata hasara.

Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency