Home » » Bomu lasadikika kulipuka siku ya jana Zanzibar na kuua mtu mmoja.

Bomu lasadikika kulipuka siku ya jana Zanzibar na kuua mtu mmoja.


Mlipuko ambao unasadikika na watu wengi kuwa ni bomu lililotegwa kwa dhumuni maalumu limelipuka siku ya jana na kufanikiwa kukuua mtu mmoja huku akiwaacha watu watatu majeruhi.


Aliyefariki ni mmoja kati ya wahadhiri waliokuja kutoka Tanga na S waliojeruhiwa ni sheikh Hamad pamoja na Sheikh Kassim Mafuta ambae amepata majeraha kidogo.Majeruhi wote wamelazwa hospitali ya Mnazi Mmoja, Zanzibar.


Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency