Home » » Namna ya kuosha uso kwa gharama nafuu bila matumizi ya kemikali.

Namna ya kuosha uso kwa gharama nafuu bila matumizi ya kemikali.Usafishaji wa uso ni muhimu sana katika utunzaji wa ngozi aidha kwa mwanamke hata pia mwanaume ili kujihakikisha afya nzuri na muonekano mzuri,leo kupitia Maridadi Agency tutajifunza namna ya kusafisha uso pila kutumia kemikali ya aina yoyote .
na ni njia ambayo ni safi na salama kwa afya yako.

Mahitaji

  1. Maziwa ya mgando
  2. Mlozi na karoti
  3. Maji vuguvugu
  4. Limao
  5. Taulo laini au la pamba

   Njia


1. Chukua maziwa ya mgando na utumie kusafisha uso wako.
2. Scrub kwa kutumia mchanganyiko wa mlozi na karoti au mlozi wa jani la chai.
3. fanya toning na maji vuguvugu yaliyochanganywa na kipande cha limao na weak kidogo katika taulo la pamba na futa uso wako mahali pote kasoro penye tatizo.
4. Tumia ute mweupe ambao utakuwa umemwagia katika taulo lako na kujisugua taratibu.
5. Jisafishe na maji ya vuguvugu
6. Fanya toning tena kama ilivyokuwa katika hatua ya tatu juu
7. Ili kuondoa ukavu wa ngozi, kata matango na yabandike katika ngozi.
Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency