Home » » Huu ndio muonekano mpya wa soko la Karume.

Huu ndio muonekano mpya wa soko la Karume.

Baada ya mabanda ya wamachinga wa eneo la Soko la  Karume, maeneo ya Ilala Dar es Salaam yameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo.
Taarifa zinasema moto huo ulianza kidogo kidogo katika baadhi ya vibanda ambavyo wenye navyo walikuwa hawapo na baadaye kushika kasi na kuteketeza kila kitu kilichopo kwenye eneo hilo

Hizi ni picha za muonekano mpya wa soko hilo mapema asubuhi hii baada ya kuteketezwa kwa moto.


Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency