Home » , » Mbunge wa ukerewe MhSalvatory ajibu mapigo ya Mh Komba kwa kuvuja kwa picha zake chafu.

Mbunge wa ukerewe MhSalvatory ajibu mapigo ya Mh Komba kwa kuvuja kwa picha zake chafu.Katika hali isiyo kawaida na inayoonuesha utofauti mkubwa kuhusu heshima za wabunge waliopita na hawa wa siku hizi.

Baada ya Mheshimiwa Komba picha zake chafu kuonea mitandaoni akila mambo na kasichana,eo hii imezuka kubwa tena baada ya picha za utupu kama alivyozaliwa za mbunge wa ukerewe Mheshimiwa Salvatory Machemli zimevuja mitandaoni akiwa anajilia vyake haramu na mrembo.
Pichani ni baadhi ya picha zilizovuja na zinazoendelea kutililika katika mitandao ya kijamii hasa facebook na blogu nyingi za udaku.
Tunaendea kupinga vikali vitendo hivi vinavyofanywa na watu maalumu hapa nchini ambao wanajukumu kubwa la kulinda heshima zao,familia na jamii yao inayowazunguka kuwa mstari wa mbele katika kuharibu maadili yetu ya kiafrika.
Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency