Home » , » MSIBA KWA WAPENZI WA MPIRA:GEBO AFARIKI DUNIA!

MSIBA KWA WAPENZI WA MPIRA:GEBO AFARIKI DUNIA!Mshambuliaji mahili wa zamani wa timu ya Simba na Sigara, Gebo Peter amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
 Beki wa zamani wa Yanga, Bakari Malima ‘Jembe Ulaya' amethibitisha taarifa za kifo hicho.
Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency