Home » » Dida wa Times Fm:Mume wangu alitumia mkanda wa suruali kuniadhibu.

Dida wa Times Fm:Mume wangu alitumia mkanda wa suruali kuniadhibu.


Hizi ni picha zikionyesha majeraha aliyopata mtangazaji wa kituo cha Times FM,Khadija Shaibu maarufu kama Dida baada ya kupata kipigo kikale kutoka kwa mume wake Edzen Jumanne.


 huyo alipata kipigo kikali toka kwa mume wake baada ya kuibuka mzozo mkubwa unaodaiwa kuwa chanzo chake ni wivu tu aliokuwa nao mume wake.

Dida alifunguka kwa kusema majeraha hayo yanatokana ni kipigo kikali cha mume wake ambae alitumia mkanda wake wa suruali kotolea kipigo hicho.Aidha taarifa za awali toka kwa watu wake wa karibu aka wapambe zinasema kuwa ndoa ya wapendanao hao iko matatani tokea kuibuke sakata ilo.

Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency