Home » » Machinga,Lindi : Ajari ya Basi yajeruhi watu 21

Machinga,Lindi : Ajari ya Basi yajeruhi watu 21


Afisa wa polisi akisimamia mizigo ya abiria waliokuwa wakisafiri katika basi la SB lenye namba za usajili T607 BDG lililokuwa njiani kuelekea Dar es salaam kutoka Nachingwea na kupata ajali katika kijiji cha Mchinga mkoani Lindi. Abiria 21 wamejeruhiwa na wamelazwa kwa matibabu katika hospitali ya mkoa Lindi.

Basi la SB lenye namba za usajili T607 BDG lililokuwa njiani kuelekea Dar es salaam kutoka Nachingwea baada ya kupata…Afisa wa polisi akisimamia mizigo ya abiria waliokuwa wakisafiri katika basi la SB lenye namba za usajili T607 BDG lililokuwa njiani kuelekea Dar es salaam kutoka Nachingwea na kupata ajali katika kijiji cha Mchinga mkoani Lindi. Abiria 21 wamejeruhiwa na wamelazwa kwa matibabu katika hospitali ya mkoa Lindi.
Basi la SB lenye namba za usajili T607 BDG lililokuwa njiani kuelekea Dar es salaam kutoka Nachingwea baada ya kupata ajali katika kijiji cha Mchinga mkoani Lindi. Chanzo cha ajali hiyo bado kujulikana
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Ludovick Mwananzila akiwafariji majeruhi wa ajali hiyo
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Ludovick Mwananzila akimwangalia mmoja wa watoto ambao ni majeruhi wa ajali hiyo.
Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency