Home » » Msiba:Mwanafunzi aliyeenda mafunzoni JKT kusubiri matokeo ya kidato cha sita afariki.

Msiba:Mwanafunzi aliyeenda mafunzoni JKT kusubiri matokeo ya kidato cha sita afariki.

Moja ya wanafunzi waliopo JKT  Raphael Kingaz waliopo mafunzoni kusubili matokeo ya kidato cha sita,aliyekuwa mwanafunzi wa HGE shule ya sekondari mbezi beach amefariki akiwa mkoani Tanga kwenye kambi ya mafunzo ya JKT amefariki dunia siku ya jana mazishi yake yamefanyika leo huku sababu ya kifo chake ikiwa haijafahamika.


Pole ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki na jumuiya yote ya shule ya sekondari mbezi beach.
Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency