Home » » Laaana : Orient Industry ya Japan yafanikiwa kutengeneza midolo ya ngono yenye 97% feeling kwa binadamu.

Laaana : Orient Industry ya Japan yafanikiwa kutengeneza midolo ya ngono yenye 97% feeling kwa binadamu.

Kampuni moja ya nchini Japan imedai kufanikiwa kutengeneza midoli ya ngono ‘sex dolls’ yenye muonekano halisi wa mwanamke ambayo huwa na ngozi ya mwili kama ya binadamu na macho kama ya ukweli.
Japan Invents High Tech Realistic Looking Sex Dolls

Orient Industry imesema ni ngumu kuitofautisha midoli hiyo na msichana halisi pale unapoitazama kwa mara ya kwanza.

Midoli hiyo imepewa jina la ‘Dutch Wives’, na matangazo ya midoli hiyo yanasema kuwa iwapo mwanaume akifanya nayo mapenzi hawezi kumtamani mwanamke halisi tena. Bei ya midoli hiyo ni £1,000 ( zaidi ya shilingi milioni 2.7) kwa kila mmoja.
Midoli hiyo imetengenezwa kwa kuweka viungo ambavyo vinamfanya mtumiaji kuigeuza katika position atakayo.
Japan Invents High Tech Realistic Looking Sex Dolls

Japan Invents High Tech Realistic Looking Sex Dolls
Japan Invents High Tech Realistic Looking Sex Dolls
Japan Invents High Tech Realistic Looking Sex Dolls

Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency