Home » » Aibu jeshi la polisi,askari watatu wafukuzwa kazi kwa kosa la mahaba.

Aibu jeshi la polisi,askari watatu wafukuzwa kazi kwa kosa la mahaba.



Jeshi la polisi Mkoani Kagera limewafukuza kazi Askari polisi watatu kwa kosa la kupiga picha zisizo na maadili wakiwa na sare za jeshi.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani hapa Henry Mwaibambe, amewataja askari hiyo kuwa ni PC Asuma Mpaji Mwasumbi mwenye namba F.7788,PC Fadhiri Linga mwenye namba G 2122 na PC Veronica Nazaremo Mdeme, wote walikuwa askari wa kikosi cha usalama barabarani wilayani Missenyi.
Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency