Home » » Askali polisi waendelea kudhalilisha jeshi letu.

Askali polisi waendelea kudhalilisha jeshi letu.

Aibu kwa mtu anayetegemewa kulinda usalama wa raia kuwa katika hali kama hii.

Bado jeshi letu la kulinda taifa hasa la polisi linaendelea kulizalilisha jeshi hilo kwa wafanyakazi wake kuonekana katika mazingira tofauti tofauti ambayo hayaendani na maadili hayo.

Kutokana na uwepo wa maendeleo ya kidigitali picha nyingi zinazozihilishwa ukwiukaji wa nidhamu kwwa wafanyakzi wa jeshi la polisi likiendelea kukua kwa dhati licha ya adhabu kali wanazopewa baada  tu ya kubainika.

Aidha kupitia mtandao huu wa Maridadi Agency tunapenda kuwaomba na kuwakumbusha waajiliwa wote wa jeshi letu kuwa na nidhamu pindi wavaapo sare za taifa letu ili kulinda heshima la jeshi letu na nchi yetu na tunapinga vikali kuendelea kwa tabia hii.

Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency