Home » » Wanachuo TIA ajichoma kisu.

Wanachuo TIA ajichoma kisu.

Mwanafunzi aliyefahamika kwa jina moja la Moza aliye mwaka wa kwanza katika chuo cha Uhasibu TIA Mkoani Singida amenusurika kufa baada ya jaribio la kutaka kujiua kwa kujichoma na kisu kushindikana,tukio hilo limetokea baada mwanafunzi huyo kumfumania mpenzi wake wa kiume akiwa na mwanamke mwingine.


Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency