Home » » INAATISHA +18 tu : HOUSE GIRL AMCHOMA KISU MTOTO JICHONI NA KICHWANI.

INAATISHA +18 tu : HOUSE GIRL AMCHOMA KISU MTOTO JICHONI NA KICHWANI.



Dada wa kazi (Housegirl), aliyetajwa kwa jina moja la Rachel, mkazi wa Tabata-Shule jijini Dar, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuchukua kisu jikoni kisha kumchomachoma nacho mtoto, Samwel John (4) anayeishi nyumba ya jirani.

Kwa upande wake House girl alipoulizwa ni kwa nini alifanya kitendo cha kinyama kiasi hicho alisema kuwa alikuwa akitamani kumtoa jicho mtoto huyo.

“Alisema kuna shetani au roho ilikuwa ikimtuma amng’oe macho mwanangu,” alisema baba wa mtoto huyo anayejulikana kwa jina la John
 
Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency