Home » » NDEGE INAYOTEGEMEA NISHATI YA JUA

NDEGE INAYOTEGEMEA NISHATI YA JUA

Leo tunakuletea kitu kigeni kidogo kuwa kuna ndege imetengenezwa ambayo inatumia nishati
Ya jua hii nikupunguza matuzi ya nishati ambazo ulepelekea uchafuzi wa mazingira

Hii ndege inauzito wa tani mbili na point 3
2.3 tones
Main ina engine nne ambazo zimetenganishwa kwa umbali wa mita nne

Hii ndege solar panel yake ina cells 17000

Na ina mwendokasi wa wastani wa 70km/h

Kupata habari kiundani zaidi

BOFYA HAPA

Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency