Home » » Askari feki wakamatwa mkoani Iringa

Askari feki wakamatwa mkoani Iringa

Polisi feki wawili wakamatwa  Iringa baada ya kuhusiswa na utapeli.
Brazil Nyakunga wa kwanza tokea mkono wa kulia ambaye ni mwalimu akiwa amevalia sare za polisi na katikati ni bosi wake Goodluck Mbehale  aliyevalia shati la ketenge,wamekamatwa mkoani Iringa, kwa kufanya utapeli, wakijidai wao ni Askari polisi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi amesema maaskari hao feki, wamekuwa wakiwatapeli wakazi wa Mikoa ya Morogoro, Iringa na maeneo ya jirani yanayoizunguka Iringa.
Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency