Sakata la warembo wengi kuendelea kuachia picha chafu ndani ya mitandao ya kijamii hasa facebook na instagram linaendelea kuongezeka kwa kasi ya ajabu.
Bado haijajulikana sababu hasa ni nini inayowapelekea kufanya mchango huu mkubwa katika kuharibu maadili ya waafrika.Hizi ni baadhi ya picha tofauti tofauti za mwanadada alizoziachia Instagram.
Bado tunaendelea kupinga vikali tembea hizi zinazoendelea kwa kasi ya ajabu hasa kwa kina dada.
Bado haijajulikana sababu hasa ni nini inayowapelekea kufanya mchango huu mkubwa katika kuharibu maadili ya waafrika.Hizi ni baadhi ya picha tofauti tofauti za mwanadada alizoziachia Instagram.
2 comments:
wadada kama mnataka kujiuza tafuteni soko lakini sio kuachia picha zeni za wazi mtandaoni....
Alafu siku hizi washagundua huu mchezo mchafu Chris.
BONYEZA HAPA KUACHA MAONI YAKO