Show ya Jahazi ambayo ilikuwa ifanyike leo ukumbe wa Travertine hotel hatimie show iyo haitafanyika tena kutokana na kutokea kwa msiba unaemuhusisha mmiliki wa hotel hiyo kufiwa na rafiki yake wa karibu ambae pia alikuwa ni sehemu ya watendaji katika hotel hiyo.
Aidha pia inasemekana kuwa leo ndio siku ambayo wapenzi wa bendi hiyo walikuwa wakiisubiria kwa hamu,kwani ni show ya kwanza kwa wilaya ya Kinondon ndani ya Dar tangu wiki tatu zilizopita walipoondoka kwa ziara ya mikoani.
0 comments:
BONYEZA HAPA KUACHA MAONI YAKO