
Mtanzania popote ulipo hakikisha unampigia kura Deo Polycarp Goodluck mtanzania pekee anayeshiriki shindanoo la biashara duniani nchini German .
Mpaka sasa Deo Polycarp Goodluck anaongoza kwa kura chache sana huku raia kutoka BURUNDI ambaye yupo namba 2 akipambana kufa na kupona kushika namba 1,Tunahitaji kura zenu kuhakikisha Deo Polycarp Goodluck anabaki namba 1......Kumbuka shindano linaisha mwishoni mwa mwezi huu,sisi watanzania ndio tunaweza kumpa ushindi mtanzania mwenzetu kwahiyo tuendelee kumpigia kura huyu mtanzania ,
JINSI YA KUPIGA KURA
1. Ingia kwenye link hii => https://www.entrepreneurship-campus.org/ideas/10/2994/
2. Shuka mpaka mwisho wa maelezo na picha utakuta maneno/namba maalum unazotakiwa uziandike, andika namba/maneno yanayoonekan kwenye kabox kadogo juu ya Button ya vote.
3. Utabonyeza button iliyoandikwa VOTE NOW, Hapo utakuwa umempigia kura na kumuwezesha kuwa mshindi.
Mpigie kura Deo leo. Tanzania kwanza.!
0 comments:
BONYEZA HAPA KUACHA MAONI YAKO