Home » » Ray C afunguka: Sikuwa na nia mbaya na TID

Ray C afunguka: Sikuwa na nia mbaya na TID



Siku za karibuni, Nyota wa muziki nchini Tanzania Ray C pamoja na TID waliingia kwenye headlines kutokana na kauli za kupishana katika mtandao wa Instagram.
TID alionekana kuja juu kutokana na comment iliyotolewa na Ray C instagram kwenye moja ya post zake.
Baada ya kukaa kimya akimuuguza mama yake hatimaye mwanadada Ray C amejibu kile kilichosemwa na TID.
Hii ndio kauli ya Ray C, Namnukuu “Hi everyone!!!Asanteni kwa maombi yenu!mama anaendelea vizuri Mungu ni Mwema.na kuhusu @tidmnyama -Nimeona post yako,Asante kwa matusi yako ila sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria anyway Nakuombea kwa Mungu akuepushe na majanga ya dunia!ubarikiwe sana babaa.
Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency