Home » » Waumini wawili wafariki wakati wa ubatizo mkoano Kagera

Waumini wawili wafariki wakati wa ubatizo mkoano KageraWatu wawili wafariki kwenye Ziwa Victoria walipokuwa wanabatizwa huko mkoani Kagera

Walikuwa wakibatizwa na mchungaji Nehemia Upendo wa kanisa la POOL of SILOAM.Polisi inafanya Uchunguzi wa taarifa zote kuhusiana na Tukio hilo na wakikamilisha basi Zitawekwa hadharani lakin baadhi ya watu waliohojiwa juu ya tukio hilo walisema Wamepewa ushirikiano Mbaya sana kutoka Kwa mchungaji Huyo.
Share this article :
 
Copyright © March 2012. MARIDADI AGENCY
-Haki zote zimehifadhiwa
- All Rights Reserved
Template Modified by Hassan Moh Toziri
Published by Maridadi Agency