Home »
Habari
,
News
» MSIBA KWA WAPENZI WA MPIRA:GEBO AFARIKI DUNIA!
MSIBA KWA WAPENZI WA MPIRA:GEBO AFARIKI DUNIA!
Mshambuliaji mahili wa zamani wa timu ya Simba na Sigara, Gebo Peter amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Beki wa zamani wa Yanga, Bakari Malima ‘Jembe Ulaya' amethibitisha taarifa za kifo hicho.
0 comments:
BONYEZA HAPA KUACHA MAONI YAKO