Mbunge wa Pinga maafu kama Kaptain Komba ameamua kujitokeza hadharani kuzungumzia sakata linalomkubwa la kuvuja picha zake chafu akiwa na kabinti wakijivinjari
Kapt Komba ameamua kufunguka wazi kutokana na picha hizo kuvuja katika mitandao ya kijamii.
Kapt Komba ametoa statement hii hapa chini kupitia blog maarufu ya mwananchi.
0 comments:
BONYEZA HAPA KUACHA MAONI YAKO